Kocha wa Manchester United Ole gunnar solskjaer amezidi kuwa katika Wakati mgumu tangu kuanza kwa msimu huu wa ligi kuu uingereza premier League. United imecheza michezo nane na kujikusanyia point 9 tu, Hali inayozid kumpa presha Kocha huyo aliyefanikiwa kuchezea timu io kwa mafanikio makubwa.
Katika Hali ya kushangaza United imeshindwa kupata ushindi katika mechi zake za ugenini tangu msimu uliopita mwezi March mpaka sasa. Jambo linalozidi kumpa presha Kocha huyo wa kiingereza kutokana na lawama na maneno ya kejeli kutoka kwa mashabiki wa timu iyo katika mitandao ya kijamii wakitaka aondoke na hana jipya.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon