Google translator

SAMATTA APANGIWA WAROMANIA UEROPA LEAGUE



Mshambulaji wa kimataifa wa Tanzania na KRC Genk ya ubelgiji mbwana Alli samatta atakutana na FC astra giurgiu ya Romania kwenye kombeo la ueropa league.

Ratiba hiyo iliyopangwa katika makao makuu ya uefa mjini zurich nchini uswisi imejumuisha timu 32 kutoka mataifa mbalimbali huko ulaya mara baada ya kufuzu hatua ya makundi ueropa leage.

Previous
Next Post »