Google translator

NI YANGA NA ASHANTI UNITED LEO KOMBE LA ASFC

Mabingwa wa Ligi kuu bara Yanga fc leo hii inashuka dimban kukipiga na ashanti United ya soko la wauza mitumba ilala jjini Dsm maarufu kama "watoto wa jiji", kwenye mchezo wa azam sports federation cup (ASFC)  utakaopigwa katika dimba la Uhuru majira ya saa kumi KAMILI. 
Previous
Next Post »