Azamfc imekamilisha rasmi usajili wa winga kutoka ghana enock agyei aliyekuwa akikipiga klabu ya medeama fc ya ghana,winga huyo amesaini mkataba wa miaka 3 utakaomweka chamazi mpaka mwaka 2019. .
enock anakuja azam kama mbadala wa winga farid malik aliyetua club tenerrife ya spain kutokana na uwezo wake ambao ameonyesha katika ligi ya mabingwa afrika msimu huu.
katika wakati mwingine wachezaji saba wamewasili katika majaribio azamfc kwa ajili ya kupata nafasi katika kikosi hicho.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon