Google translator

BALE ATWAA TUZO YA WALES

Winga wa klabu ya real madrid ya spain gareth bale ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa wales.hii ni kwa mara ya nne mfululizo bale anachukua tuzo hiyo na hii inakuja baada ya kufanya vizuri kuanzia klabu yake na timu yake ya taifa iliyofanya vizuri kwenye mashindano ya euro mwaka huu.
Previous
Next Post »