Google translator

UFARANSA ILIVYOICHAPA SWEEDEN

Timu ya taifa ya france imeshinda goli 2-1 dhidi ya sweeden jana.shukrani ziende kwa midfield wa man utd paul labile pogba na dimitr payet anayekipiga west ham united.hizi ni baadhi ya picha katika game ya jana
Previous
Next Post »