Google translator

MKHITARYAN;;NITAPIGANIA NAFASI YANGU

Kiungo wa manchester united henrik mkhitaryan amenukuliwa na saddie blog akisema atahakikisha anarudisha namba yake katika kikosi cha man utd chini ya kocha mreno jose mourinho.Hii inakuja mara baada ya mkhitaryan kutofanya vizuri tangu alipotua united mwezi agosti mwaka huu. Katika mahojiano na gazeti moja la nchini uingereza mkhitaryan amesema kiwango changu kimeathiriwa na majeraha niliyoyapata tangu nitue united,nimefanya kazi kubwa katika keria yangu mpaka kufika hapa,ninauamini uwezo wangu,nina jukumu kubwa la kuthibitisha ubora wangu kwani united ni klabu niliyoiota kwa kipindi kirefu tangu udogo wangu".Haya ndo maneno aliyoyasema winga huyo wa kiarmenia Katika hatua nyingine mkhitaryan amekuwa akihusishwa na kuihama united lakini kocha mreno jose mourinho amesema mchezaji huyo ana nafasi ya kupata nafasi katika kikosi chake endapo atajitahidi katika mazoezi.
Previous
Next Post »