Google translator

UNITED YAMUWINDA DOGO WA PORTO


Taarifa zinaeleza kuwa mashetani wekundu manchester united imeingia katika kinyang'anyiro cha kumtwaa mshambuliaji wa fc porto ya ureno.United imetenga kiasi cha pauni 51m sawa na euro 60m.Hatua hii inakuja mara baada ya kijana huyo kufanya vizuri kwa kuwa moto kuotea mbali huko ulaya na nited imeamua kutenga kiasi hicho chja pesa
kwa ajili ya kijana huyo wa kireno ambaye mpaka sasa ameshaweka nyavuni goli 7 katika mechi 10 za ligi kuu nchini urenomaarufu kama primeira liga huku akiweka kambani goli mbili kwenye uefa champions league pia akiwa msaada mkubwa kwenye timu yake ya taifa.



Previous
Next Post »