Klabu ya soka ya azamfc imekamilisha usajili wa wachezaji wawili raia wa ghana samuel affoul na yahya mohammed na kuwatambulisha kama washambulizi wapya katika kikosi chao kilichopo maeneo ya chamazi jijini dsm.
picha kwa hisani ya bin zubeiry
Usajili huo umeshuhudiwa na meneja mkuu yahya mohammed na ofisa mtendaji saad kawemba na kusema hayo ni mapendekezo ya kocha mkuu zeben hernandez.Azam ambao ni mabingwa wa (CECAFA) KAGAME CUP inajiandaa na kombe la FA,Mapinduzi cup,CONFEDERATION CUP na mzunguko wa pili ligi kuu Tanzania bara.Wakati huohuo azamfc imeachana na wachezaji wake wawili raia wa ivory coast kipre balou na beki kisiki pascal wawa.

ConversionConversion EmoticonEmoticon