Klabu ya krc Genk jana imepigwa kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 6-0 na oestende katika kombe la ligi ubelgiji.Katika mechi hiyo samatta alicheza dakika zote 90 tangu september mwaka huu dhidi ya athletic club bilbao kwenye ueropa league huku straika mwenzake ambaye yupo kwenye fom msimu huu nico kararelis akianzia benchi.Tangu samatta atue genk january msmu huu ameichezea timu hiyo mechi 35 na kuifungia magoli 8 msimu uliopita na matano msimu huu.Poleni KRC Genk
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon