Google translator

MOSSES ATWAA TUZO UINGEREZA

Winga wa chelsea fc ya uingereza victor mosses ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu uingereza EPL kwa mwezi november mwaka huu ijulikayo kama PFA Fans.Tuzo hiyo hutolewa kwa mujibu wa kura zipigwazo na mashabiki kupitia mtandao wa skysports wa nchini england

.Kura zilizopigwa zilikuwa 40,000 na mosses amewabwaga wenzake akiwemo sraika wa man city sergio ''kun'' aguero.Mosses alipata kura 18,756 akifuatiwa sigurdson wa swansea kura 7,791 huku wa tatu akiwa Nordin amrabat kura 5,378.Wengine ni sergio aguero 3,457,victor anichebe 3,642 na mat philips 1,203.
Previous
Next Post »