Google translator

HUU NDIO MKWANJA ANAOVUTA SAMATTA GENK

Kila mchezaji anayecheza bongo na afrika kwa ujumla anatamani siku moja aje kucheza ulaya lakini sio rahisi kiasi hicho,kwani inahitaji moyo wa kujituma  mpaka kufikia malengo hayo kwani vilabu vya ulaya vinahitaji watu wenye malengo.Lakini mbwana samatta mchezaji wa kimataifa wa tanzania na krc genk ya ubelgiji amethubutu hata hivyo haikuwa rahisi kiasi hicho kwani alipita sehemu zilizokuwa na ushindani wa hali ya juu tena penye wachezaji bora mojawapo ni Tp mazembe ya DRC ambapo alipambana mpaka sasa anakipiga barani ueropa.
  
Sasa kwa taarifa yako mbwana samatta anavuta kiasi cha euro 35600 sawa na sh.85mil za kitanzania kwa mwezi ila kutokana na kodi samatta anajikuta akivuta euro 18200 sawa na sh.38 mil za kibongo ambayo siyo totauti sana na ile aliyokuwa akilipwa mazembe sh.32mil kwa mwezi,lakini kutokana na kuwa na jicho la mbali samatta ametua genk.Endelea kupiga mambo mwanangu samatta mpaka wazungu waelewe huko barani ulaya.                    
Previous
Next Post »