Droo ya kombe la ligi uingereza imekamilika kutokana na matokeo ya jumanne na jumatano ambapo timu za liverpool,hull city,man utd na southampton zilitinga hatua ya nusu fainali na ratiba ni kama ifuatavyo;
MAN UTD VS HULL CITY
LIVERPOOL VS SOUTHAMPTON
Mechi hizo zitapigwa january 9 mwakani na united itaanzia nyumbani kabla ya kuifuata hull city huku liverpool itaanzia ugenini kabl ya kumalizia nyumbani.
ConversionConversion EmoticonEmoticon