Google translator

HERERRA ACHANGANYIKIWA BAADA YA MECHI NA WESTHAM

Kiungo fundi wa manchester united ander harerra ameshindwa kujizuia na kuonyesha feelings zake mara baada ya kutoka sare na wagonga nyundo wa london westham united.Akielezea mchezo huo herarra amesema hali hiyo imejitokeza kwa ara ya kwanza tangu ameanza kucheza mpira kutawala mchezo katika idara zote lakini wameshindwa kushinda game hiyo.
Previous
Next Post »