Google translator

SIMBASC YAPAMBANA KUMRUDISHA OKWI MSIMBAZI

Uongozi wa simba sc upo katika mchakato wa kumrudisha nyumbani fowadi raia wa uganda emannuel okwi kutoka sonderejsike fc ya denmark.simba imeambiwa ilipe dola 120,000 sawa na shilingi milioni 240 za kitanzania,hii inakuja mara baada ya mchezaji huyo kushindwa kupenya katika kikosi cha timu hiyo na simba imeamua kumrudisha okwi katka kipindi hiki cha dirisha dogo kwani pamoja na kufanya vizuri katika ligi ya msimu huu bado timu inaonekana kutojitosheleza hasa katika winga ya kushoto hivyo okwi ni mchezaji sahihi kwani ameshawahi kuichezea simba kwa misimu mitano akiwa na mafanikio makubwa hasa mwaka 2012 aipoifikisha simba hatua ya mbali katika ligi ya shirikisho na simba kutolewa kwa matuta na al ahly shandy ya sudan kipindi ambacho simbasc ilikuwa moto wa kuotea mbali.HAPO JUU NI MAMBO ALIYOKUWA AKIFANYA OKWI VS SHANDY
Previous
Next Post »