Google translator

YANGA YACHINJA MTU TAIFA

mabingwa wa VPL young africans imewanyamazisha maafande wa ruvu shooting ya pwani kwa kichapo cha magoli 2-1. ruvu ndo walikuwa wa kwanza kuandika bao kupitia kwa abdulrahman mussa dakika ya 7 lakini yanga walichomoa goli hilo dakika ya 31 kupitia kwa msuva. kipindi cha pili kocha wa yanga alitolewa uwanjani mara baada ya kutoa lugha isiyo nzuri kwa mwamuzi na hii haikuwazuia yanga kuendelea kutawala gemu hiyo na hatimaye niyonzima akapiga msumari wa mwisho dk56 na mpaka mwisho yanga ikatoka kifua mbele kwa ushindi huo.
Previous
Next Post »