Straika wa kimataifa wa Tanzania na krc Genk mbwana samatta amemaliza ukame wa magoli baada ya jana kufunga magoli mawili na kuipa ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya beverin katika pambano la kombe la ligi ya ubelgiji.goli jingine la genk lilifungwa na mnigeria wilfied ndidi.
Huu unakuwa ujio mzuri kwa samatta na genk yake kwani wikiendi ilyoisha walipigwa kipigo cha aibu cha magoli 6-0 dhidi ya oestende.keep it up SAMAGOALS
Huu unakuwa ujio mzuri kwa samatta na genk yake kwani wikiendi ilyoisha walipigwa kipigo cha aibu cha magoli 6-0 dhidi ya oestende.keep it up SAMAGOALS
ConversionConversion EmoticonEmoticon