Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Kiungo fundi wa liverpool phelipe coutinho ameumia enka.Akielezea habari hiyo kocha jurgen klop amesema ni pigo kwa liverpool lakini wameamua kuacha jambo hilo kama lilivyo lakini mpaka sasa haijajulikana atakaa nje kwa muda gani.Coutinho aliumia katika mechi ya ligi kuu uigereza dhidi ya sunderland ambapo walishinda na kupanda kileleni mwa ligi hiyo.Aidha coutinho amefunga magoli matano huku akitoa assists sita msimu huu lakini pia ni mchezaji anayewindwa na mabingwa hispania fc barcelona.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon