Klabu ya azamfc imepata pigo kubwa na la kushtukiza mara baada ya kuondokewa na mwenyekiti wake mzee said aliyezikwa jana jijini dar es salaam.
hili ni pigo jingine kwa azamfc iliyopata kipigo kutoka kwa mbaofc jumapili iliyopita,hivi sasa azam inajiandaa na mchezo mwingine wa ligi kuu wiki hii huko kanda ya ziwa.
PUMZIKA KWA AMANI MZEE SAID
ConversionConversion EmoticonEmoticon