Beki serge wawa jana amefunga ndoa na mke wake aliyezaa nae watoto wa tatu nchini ivory coast.Kitasa huyo ambaye ameachana na klabu yake ya azamfc na kusaini EL-merreikh ya nchini sudan ameposti picha kwenye ukurasa wake wa instagram zikimuonyesha akiwa na furaha pamoja na mke wake huyo.Hongera serge wawa
WAWA AVUTA JIKO IVORY COAST

ConversionConversion EmoticonEmoticon