Google translator

AZAMFC WAZINGUA TENA VPL

Image may contain: 1 person, playing a sport, grass and outdoor

Matajiri wa ligi guu tanzania bara azamfc leo imeendelea kuzingua mashabiki wake baada ya kutoa sare ya bila kufungana dhidi ya african lyon 0-0.Huu unakuwa muendelezo mbaya wa azam msimu huu kwani mpaka sasa inatimiza pointi 26 tu kwenye michezo 16 iliyocheza kwenye ligi kuu msimu huu.

Licha ya azam kutamba kwenye vyombo vya habari wiki hii kwa kushusha majembe ya hatari na kuwa timu iliyotumia zaidi ya bilioni 1.2 kwenye dirisha dogo, bado inaendelea kusota kwenye ligi hiyo.
Previous
Next Post »