|
Lucas perez akishangilia goli alilofunga na wenzake. |
Mshambuliaji chipukizi wa arsenalfc lucas perez ameipeleka klabuyake kwa kishindo hatua ya mtoano ligi ya mabingwa barani ulaya mara baada ya kupiga hat trick katika mechi za kukamilisha raatiba ya makundi usiku wa kuamkia leo.Goli jingine la arsenal lilifungwa na mshambuliaji wake mwingine chipukizi alex iwobi na kukamilisha ushindi wa magoli 4-1 dhidi ya fcBasel ya uswiss.
Kwa maana hiyo arsenal inafuzu hatua ya mtoano kama top leader wa kundi lake mara baada ya PSG kutoka sare ya magoli 2-2 dhidi ya ludogorets ya bulgaria hivyo PSG anafuzu kama mshindi wa pili huku ludogorets anafuzu hatua ya mtoano kwenye UEROPA league
.
|
lucas moura akisikitishwa na matokeo yanayofanya washike nafasi ya pili kuelekea mtoano. |
This is dummy text. It is not meant to be read. Accordingly, it is difficult to figure out when to end it. But then, this is dummy text. It is not meant to be read. Period.
ConversionConversion EmoticonEmoticon