Google translator

SAMATTA AIBEBA GENK DHIDI YA ST.LIEGGE HUKO UBELGIJI

Mbwana samatta akipongezana na wachezaji wenzake baada ya kuisawazishia klabu yake usiku wa jana.

Mbwana ameifungia Genk bao la kusawazisha dhidi ya Standard Liege, mchezo umemalizika kwa sare ya mabao 2-2 Ligi Kuu ya Ubelgiji

Previous
Next Post »