Mchezaji wa mbaofc chini ya umri wa miaka 20 Ismail Mrisho amefariki jana akiwa uwanjani katika mechi dhidi ya mwadui fc mashindano ya timu za ligi kuu chini ya umri wa miaka 20.Mchezaji huyo alidondoka uwanjani dk.56 mara baada ya kupigwa tackling na beki wa mwaduifc jambo lililopelekea kifo chake.
Mbaofc walikuwa wakiongoza goli 1-0 na Ismail mrisho ndiye aliyefunga goli hilo zuri kwa kisigino.Mpaka mauti yanamkumba Ismail alikuwa ni mwanafunzi wa Mwanza secondary.
MUNGU AILAZE ROHO YA ISMAIL MRISHO MAHALI PEMA PEPONI
''AMEEN''
ConversionConversion EmoticonEmoticon