Google translator

WENGER APANGIWA BAYERN 16 BORA UEFA MSIMU HUU

mabingwa watetezi wa uefa champions league msimu uliopita timu ya real madrid.

Ratiba ya ligi ya mabingwa barani ulaya msimu huu wa 2016/17 imetangazwa huku ikishuhudia vigogo mbalimbali wakipambana.Ratiba hiyo imepangwa huku ikijumuisha  timu zote zilizofuzu hatua hiyo mara baada ya kushika nafasi ya kwanza na ya pili katika hatua ya makundi kwenye ligi hiyo inayoshirikisha timu bora kabisa kutoka nchi mbalimbali barani ulaya.

RATIBA HIYO NI KAMA IFUATAVYO;;




Mechi hizo zitapigwa february 14-15 na 21-22 kwa mkondo wa kwanza huku mkondo wa pili utapigwa march 7-8 na 14-15.

Previous
Next Post »