mahrez akionyesha tuzo ya bbc aliyotwaa mwaka huu wa 2016. |
Mahrez 25 raia wa algeria amewabwaga wenzake pierre emerick aubameyang,andrew ayew,sadio mane na yaya toure katika kinyangg'anyiro baada ys kupata kura nyingi zaidi kuliko wenzake hao ambao anacheza nao ligi kuu nchini uingereza.
Akielezea furaha yake mahrez amesema anajisikia furaha sana kutwaa tuzo hiyo kwani ni heshima kwake na inampa ari ya kujituma zaidi.aliongeza kuwa tuzo hiyo ni zawadi kwa nchi yake na familia yake kwa ujumla.
Mahrez ameng'ara sana mwaka huu kwani ameifungia leicester city magoli 17 na assists 11 msimu ulioisha na kushuhudia timu hiyo ikitwaa kombe la ligi kuu uingereza,aidha mahrez ameweka nyavuni magoli manne kwenye uefa champions league.
ConversionConversion EmoticonEmoticon