Google translator

VIGOGO UINGEREZA WAFUKUZIA SAINI YA BRAHIMI

Yacine brahimi winga wa fcporto na algeria.

vigogo wa ligi kuu uingereza man utd,man city na arsenal wapo kwenye vita ya kumuwania kiungo mshambulizi wa fcPorto na timu ya taifa ya algeria yacine brahimi kutokana na uwezo anaoendelea kuuonyesha huko ureno.Mchezaji huyo anatajwa kuwa na thamani ya euro milioni 60.

Previous
Next Post »