Wekundu wa msimbazi simbasc wamerejea kileleni ligi kuu ya vodacom Tanzania bara mara baada ya leo kuinyuka ndanda kuchere mabao 2-0 uwanja wa nangwanda sijaona mkoani Mtwara.
Magoli ya simbasc yamefungwa na mohammed ibrahim ''cabaye'' na mzamiru yassin aliyekuwa mchezaji bora wa simbasc mwezi uliopita na kujizolea shilingi laki tano mfukoni.simba sasa inafikisha pointi 38 mbele ya mabingwa yanga wenye pointi 36.
ConversionConversion EmoticonEmoticon