Google translator

BARCA YASHINDA KOMBE QATAR IKIWAGONGA MKONO WAARABU

Captain wa barca andres iniesta akikabidhiwa kombe nchini Qatar


Mabingwa wa ligi kuu nchini hispania fcbarcelona imewafunga al-ahly kutoka nchini saudi aarabia kwa jumla ya magoli matano dhidi ya matatu ya waarabu hao.Barca ilifunga magoli 3 ndani ya dakika 17 za kipindi cha kwanza kupitia kwa mastaa wake lionel messi,neymar na luis suarez.

Kipindi cha pili barcelona walingeza magoli mengine mawili kupitia kwa alcacer na rafinha huku al-ahly wakifunga magoli yao kupitia kwa mohammed aliyefunga kwa penalti na assiri aliyefunga magoli mawili na kufanya matokeo yawe 5-3.


Baada ya mechi kwisha barcelona walikabidhiwa zawadi na waarabu kwa kushinda mechi hiyo iliyochezwa kwenye dimba la al-gharab nchini Qatar.

Previous
Next Post »