Mshambuliaji wa zamani wa man utd dimitar berbatov amewasili kwenye kikosi cha kocha josse mourinho na juzi alikuwa kwenye viwanja vya carrington kisha kufanya mazoezi na kikosi hicho.Berbatov amerejea united na kuomba kufanya mazoezi na timu hiyo kwani mpaka sasa ni mchezaji huru.
Kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa kijamii wa facebook berbatov aliposti picha inayomwonyesha akiwa na faza wa man utd wayne rooney kwenye viwanja vya mazoezi vya kikosi hicho.Lengo la kutrain na timu ni kupata uzoefu wa namna josse anavyofundisha waxhezaji wake kwani ana ndoto za kuwaa kocha siku za mbeleni.
berbatov akifurahia ubingwa wa uiingereza waliotwaa msimu wa 2010/11 |
Chini ya kocha sir alex ferguson,berbatov anayetimiza miaka 36 siku chache zijazo alicheza mechi 149 na kufunga magoli 56 ikiwemo hat trick dhidi ya liverpool na magoli matano aliyofunga dhidi ya blackburn rovers.
ConversionConversion EmoticonEmoticon