Google translator

KADABRA AIOKOA UNITED NA KICHAPO USIKU

Ibrahimovic akishangilia goli lake dhidi ya crystal palace usiku wa jana.

Mshambuliaji wa manchester united zlatan ibrahimovic ameikoa klabu yake na sare dhidi ya crystal palace waliokuwa nyumbani usiku wa jana.Mechi hiyo ya ligi kuu uingereza iliisha kwa magoli mawili ya united kwa moja la palace.

Pogba akimtoka kiungo wa palace yohan cabaye kwenye mechi ya jana.

Man utd ndio walianza kufunga kupitia kwa paul pogba baada ya kuunga mpira uliokuwa unazaggaa kwenye lango la palace dk.45+2.Palace walichomoa goli hilo kipindi cha pili dk.66 kupitia kwa james McArthur hali iliyowachanganya kabisa united mpaka rojo kulimwa kadi mbili za njano na kupata nyekundu.

McArthur akiifungia klabu yake goli jana.
Lakini dakika ya 88 mshambuliaji wa kutegemewa na man utd zlatan ibrahimovic aliifungia united baao safi na kuzima shangwe za mashabiki wa palace na kuamsha nderemo za mashabiki wa man utd.
Previous
Next Post »