Kiungo fundi wa arsenal santi carzola anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu kutokana na kuumia kifundo cha mguu.Carzola hajacheza tangu october walipocheza na ludogorets ambapo aliumia katika mechi hiyo waliyoshinda magoli 6 bila majibu.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 31 alitua arsenal mwaka 2012 akitokea malaga kwa ada ya pauni milioni 15 anatarajiwa kwenda sweeden wiki hii kwa ajili ya upasuaji ambao utamfanya akae nje hadi raundi ya pili mwakani.

ConversionConversion EmoticonEmoticon