Google translator

CHELSEA NA LIVERPOOL ZAUA MTU UINGEREZA

Fabregas akishangilia goli lake usiku wa jana.


Vinaara wa ligi kuu nchini uingereza chelsea ''the blues'' ameipa ushindi klabu yake kwenye gemu ya jana dhidi ya sunderland ugenini kwene dimba la mwangaza Stadium of light.Hili linakuwa goli la kwanza la fabrega s tangu kuanza kwa msimu huu na linaendelea kuiweka chelsea kileleni sasa ikifikisha pointi 40.

Fabregas akiifungia chelsea bao pekee kwenye mechi ya jana.





Lallana akipongezana na wachezaji wenzake usiku wa jana.
Katika mechi nyingine liverpool nayo imewacharaza middiesbrough mabao 3-0 usiku wa jana.Magoli ya liverpool yalitiwa kambani na Adam Lallana aliyefunga mawili huku goli jingine likiwekwa kambani na divock Origi.

Lallana akipiga goli la header kwenye mechi ya jana.

Previous
Next Post »