Pastory athanas akimtoka saimon sserunkuma uwanja wa taifa msimu uliopita ligi kuu bara. |
Vinara wa ligi kuu Tanzania bara simbasc imemsaini straika chipukizi wa stand utd pastory athanas.Dogo huyo mwenye umri wa miaka 22 ndiye aliyeifunga yanga pale kambarage stadium msimu huu na kuvunja rekodi ya yanga kutofungwa mechi za ligi kuu msimu huu.
Athanas amesaini mkataba wa miaka miwili na anakuwa mchezaji wa pili kusaini simbasc kwenye dirisha dogo la msimu huu na anakuja kuongeza nguvu kuelekea mzunguko wa pili wa ligi kuu bara unaotarajiwa kuanza jumamosi ambapo simba itacheza na ndanda huko mtwara.
ConversionConversion EmoticonEmoticon