Google translator

AZAMFC YAANZA KAZI USIKU USIKU

Khamis mcha 'vialli' na erasto Nyoni wakiwa kwenye mazoezi jana usiku uwanjani kwao chamazi

Sasa hii sifaaa..!!! sasa sikia hii,klabu ya soka ya azamfc inaendelea kujifua na mzunguko wa pili ligi kuu bara pamoja na kombe la mapinduzi january mwakani.Azamfc inajinoa vikali katika camp yake aliyopo maeneo ya chamazi mbagala jijini dsm.

Kikosi chote kimeingia kambini yakiwemo majembe mapya yaliyosajiliwa kwenyedirisha hili dogo la usajili na kinaonekana kuwa na ari ya ushindi chini ya kocha wao mkuu zeben hernandez.

MAZOEZI YALIYOFANYIKA JANA USIKU YALIKUWA HIVI;



























Previous
Next Post »