Kocha wa manvhester united josse mourinho akiwa kwenye mazungumzo mechi dhidi ya feyernood ueropa league |
Klabu ya soka ya manchester united imepangwa na st.ettiene ya ufaransa kwenye kombe la ueropa league hatua ya 32 bora.Ratiba hiyo imetoka leo huku ikijumuisha timu zilizofuzu kupitia makundi yao kwenye kombe hilo kwa kushika nafasi ya kwanza na pili pia timu zilizoshika nafasi ya tatu kwenye UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
RATIBA HIYO NI KAMA IFUATAVYO;;
ConversionConversion EmoticonEmoticon