Google translator

BREAKING NEWZ;;DARASSA APATA AJALI KAHAMA

Msanii wa hip hop nchini darassa.

Msanii wa hip hop anayesumbua mjini kwa sasa na ngoma yake ya #muziki darassa cmg amepata ajali ya gari leo kahama mkoani shinyanga na kunusurika kifo.

Darassa kupitia akaunti yake ya instagram amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo alikuwa pamoja na director wake hans canna na kwa bahati nzuri wote wametoka salama.Darassa na wenzake walikuwa wakielekea GEITA  kwenye showkabla ya kutokea kwa ajali hiyo.

PICHA ZA AJALI HIYO NA KAMA IFUATAVYO;;



Tokeo la picha la darassa apata ajali

Previous
Next Post »