Ronaldo,messi na Griezman wagombania ballon d'or 2016 |
Shirikisho la soka duniani FIFA limetaja majina ya wachezaji na makocha walioingia fainali ya tuzo za mchezaji na kocha bora wa mwaka 2016.Kura zitapigwa na makocha pamoja na manahodha wa timu za taifa duniani kote ambayo ni 50% ya matokeo huku kura nyingine zitapigwa mtandaoni na mashabiki pamoja kura nyingine kutoka kwa waandish wa habari 200 kutoka nchi mbalimbali ulimwenguni kukamilisha 100% ya kura zote.
MAJINA YA WALIOINGIA FAINALI NI KAMA IFUATAVYO;;
Mchezaji bora wa dunia kwa wanaume wanaogombea ni;
C.ronaldo (31)-portugal na real madrid
L.messi(29)-argentina na barcelona
A.griezmann(25)-france na atletico madrid
Kocha bora wa dunia kwa wanaume wanaogombea ni;
claudio ranieri-leicester city
fernando santos-portugal
zinedine zidane-real madrid
Mchezaji bora kwa wanawake;
melanie behringer-Bayern munich na german
carli lloyd-houston dash na USA
Marta-rosendarg na brazil
Kocha bora kwa wanawake;
Jill Ellis-USA
Silvia Neid-German
Pia sundhage-Sweden
Tuzo hizo zitatolewa january 9 mwakani yalipo makao makuu ya FIFA huko Zurich nchini Uswiss
ConversionConversion EmoticonEmoticon