Google translator

OSTAZ AWEKA HAT-TRICK BARCA IKIUA 4-0 UEFA

ostaz akipongezana na mwenzake lionel messi.

Winga wa barcelona mturuki Arda Turan ''ostaz'' amefunga hat trick usiku wa kuamkia leo wakati timu yake ikishinda goli 4-0 dhidi ya Borrusia Moncheglanbach ya ujerumani,wakati goli jingine lilifungwa na muargentina Lionel andres messi na kukamilisha uashindi huo.




Ushindi huo unaifanya barca kufuzu mtoano ikwa kinara wakundi mbele ya man city iliyo chini ya Pep Guardiola.



Previous
Next Post »