Google translator

GUNDOGAN AUMIA,GUARDIOLA ACHANGANYIKIWA

Gundogan alipoumia kwenye mechi ya jana

Kiungo wa manchester cuty ilkay Gundogan alitolewa nje kwenye mechi ya jana dhidi ya watford baada ya kuumizwa na kiungo nordin amrabat.

Hali iliyomfanya kocha pep kuchanganyikiwa kwani anahisi atakuwa nje kwa kipindi kirefu sababu ameumia goti lakini taarifa za jeraha hilo zitatoka rasmi leo hii.

Gundogan akitoka nje baada ya klupata majeraha

Man city walishinda jana magoli 2-0 na magoli hayo yalifungwa na beki wakulia pablo zabaleta na goli la pili lilifungwa na david silva aliyekuwa mchezaji bora wa mchezo huo.
Previous
Next Post »